Yes...excavator inabebwa kwa low loader, hasa zile zenye minyororo badala ya matairi...
Kijiko kinatembea chenyewe....
Usipokua umefanikiwa kesho nikupe link ya jamaa fulani wapo afrika sana....
masai dada katapila ni model mmojawapo ya mashine kwenye contruction industry,kwahiyo kuna grader aina ya katapila,excavator aina ya katapila,roller aina ya katapila n.kkuna greda
kijiko
na
katapila
which one do you want?
The Boss ningeona huu uzi hata nisingejisumbua kufungua ule wangu.Humu kuna info zote.
Wewe ulifanikiwa?If yes unaweza kuniambia ulikodisha wapi na gharama zilikuaje?
bei ndo kama hizi....
Excavator 600000 grader 800000 compactor 500000 Exacavator 100-150ltra/8hours grader 150ltrs/8hours compactor 100ltrs/8hours
ShukranUkitaka cheapest nenda Ktk manispa yoyote kaonge nao...Ila nnavyojuaga kwa siku ni kati ya 800,000 au 1,000,000/, maana excavator huwa ina operate masaa 8 tu, kingine operator na mafuta juu yako na kulibeba na kulirudisha juu yako mkuu.