huna mtu wa manispaa unipe no yake?
Poa mkuu, maana kama una kazi ndogo hata back hole inatosha sananina ku pm now
Ninahitaji info now zaidi
kabla sijajua ntahitaji au la
Kama ishu ya uchimbaji mkubwa excavator ndio safi..inachimba na kupakia kwenye tipper.....na hasa kama ni sehemu ndogo....kama shimo hivi....
Uchimbaji mkubwa zaidi inatumika bulldozer....linafaa zaidi kuchimba sehemu pana...halifai kupakia udongo kwenye tipper...
Kuchonga ni kazi ya grader....na kusawazisha...
Kama ni uchimbaji mdogo wa sehemu pana (shallow and wide area), wheel loader (kijiko) ndo dili....kupakia hiki kijiko ni best option.
Bwawa nataka
kimo ni mita moja na nusu
upana mita 20 kwa 20
Tazama pm
back hole ndo ikoje?
weka picha hapa
Kaka siwezi kuattach picha kutokana na kifaa ninachotumia, lakini back hole inakuwa na kijiko cha kuchimbia nyuma kama cha excavator na mbele ina kijiko kikubwa (loader), kwa kazi yako unayotaka kuifanya hiyo ndio perfect machine
jaribu ku google BACK HOLE MACHINE PHOTOS
zinakodishwaje?
Bwawa nataka
kimo ni mita moja na nusu
upana mita 20 kwa 20
Excavator ni best option....ila kama ni soft soil hata kijiko kinafaa....
Hii kazi hata watu wanaweza kuifanya kwa mikono pia.
Kwa kutumia vifaa vya mikono, i.e Sururu, chepe n.k.
Ukihitaji nikuunganishe na wadau wa mikono nijulishe.
Watu wa mikono watataka hiyo hiyo laki sita
halafu wachukue siku tatu
wakati ukipata excavator ni masaa tu
Cheapest ntapata wapi?
halafu nasikia lazima libebwe na gari ingine