Gharama za kukodisha excavator

Gharama za kukodisha excavator

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,320
Reaction score
117,611
Kuna mtu humu anajua excavator zinakodishwaje?
gharama zake?
wapi naweza pata the cheapest excavator?
 
images
 
Mkuu uko general sana,
hizo ziko za capacity tofauti na miundo tofauti, hivyo na bei inakuwa tofauti

maana kuna zile zenye tairi na kuna zile zenye chain, hivyo mobilization na demobilazation iko tofauti, hata bucket size pia ina matter kwenye gharama
 
nina ku pm now
 
Kuna mtu humu anajua excavator zinakodishwaje?
gharama zake?
wapi naweza pata the cheapest excavator?
Ukitaka cheapest nenda Ktk manispa yoyote kaonge nao...Ila nnavyojuaga kwa siku ni kati ya 800,000 au 1,000,000/, maana excavator huwa ina operate masaa 8 tu, kingine operator na mafuta juu yako na kulibeba na kulirudisha juu yako mkuu.
 
huna mtu wa manispaa unipe no yake?
 
Hahaaaa daaah!

Nadhani Caterpillar (katapila) ni brand tu.

Sidhani kuna construction equipment inayoitwa hivyo.

C755021

teh teh mi nikajua kutokana na hiyo minyororo yake nika relate na kipepeo akiwa kwenye stage ya caterpillar anakua anatembea kama huo mdude
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom