Habari I wana JF kama heading hapo ninapenda kujua gharama za kukodi ndege ndogo kwenda Zbar or any where mkoani. Kwa mnaofahamu gharama zikoje na makampuni gani ya natoa huduma hizo!
Habari I wana JF kama heading hapo ninapenda kujua gharama za kukodi ndege ndogo kwenda Zbar or any where mkoani. Kwa mnaofahamu gharama zikoje na makampuni gani ya natoa huduma hizo!
Mi sijui ila kidege kidogo roughly kina beba abiria 10.
So inategemea unakwenda wapi?
Let's say Arusha to Zanzibar kila kichwa laki mbili. Wewe unalipia siti zote. So milioni mbili cash kwa nini wasikuachie uwe alone uwe na washikaji up to you.