Gharama za kuishi SA.

Naren

JF-Expert Member
Apr 22, 2016
692
425
Habari wadau!
Naomba kufahamu gharama za kuishi South Africa(yaani Afrika kusini), kuanzia gharama za kuruka mpaka huko, kupanga(accomodation) na mambo yanyongeza nisiyoyafahamu
Shukran!
 
Kuhusu safari inategemea sasa either bus au ndege? lakini kwa bas na uwe atleast na laki 4 ,kutoka dar to harare then harare to johanesburg,safari ya siku 3 hiyo njiani,ukifika joburg,hapo sasa uwe na addres ya mtu unae mfahamu,lakin room zipo kwenye mitaa ya kawaida tu nje kidogo let say kama mishe zako dar then ukaishi kibaha kwa dola 1200 mpaka 1500 kwa mwaka but make sure una addres ya unapoenda.
 
Back
Top Bottom