Gharama za kuingiza gari Dsm. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gharama za kuingiza gari Dsm.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Kamarada, Aug 3, 2011.

 1. K

  Kamarada Senior Member

  #1
  Aug 3, 2011
  Joined: Jul 24, 2010
  Messages: 148
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Wapenzi wana JF Salaam,
  Nataka kununua gari fm Japan, Mitsubish Canter (Dump) ya 1998 kwa USD. 9,500 (CFI). Plz naomba kufahamishwa mchanganuo wa gharama za kulipa Bandarini wakati wa kutoa gari hadi liwe kwa barabara ili niweze kujiandaa kwa mchakato huo.

  Natanguliza shukrani za dhati sana!!!
   
Loading...