GIAN JUNIOR
Member
- Mar 9, 2011
- 49
- 55
Asante mkuu ngoja nijilipue.1.5M hapo uwe na tank tayari. Hiyo pesa imejumuisha na ufundi.
Nalijua hilo mkuu. Sema eneo nililo nalo ndo liko 70 kwa 70. Si unajua mambo ya vijijini. Tena hili linazidi 70Kuweka tu rekodi sawa; acre ni sq.m. 4096 na sio 4900 regardless of the dimensions. Tukiiweka in square 🔲 shape itakuwa 64x64 na sio 70x70 kimazoea.
Asante mkuu ngoja nijilipue.
Hajibu!Karibu, mkuu unalimia wapi? Nikiwa na maana ya wilaya na kijiji pia ukanda huo ni mazao yapi yanakubali kwa uzuri zaidi?
Namna gani hyo kiongozi!?Hongera sana kwa hatua uliyofikia. Pengine ungeweka wazi pump inayotoa maji underground kwenda kwenye store ni ya ukubwa gani (hp ngapi). Maana kiuhalisia huna haja ya kuvuta maji underground kwenda kwenye tank, halafu uvute kutoka kwenye tank kwenda kwenye drip system. Badala yake ipo namna maji yanatoka underground moja kwa moja kwenda kwenye mfumo wa drip shambani.
Kama pump inapandisha maji bila shida mpaka juu ya ardhi, unaweza kuingiza moja kwa moja kwenye mfumo wa drip. Kikubwa ujue tu kuligawa shamba lako vizuri kwa kuzingatia pressure ya maji. Kiuhalisia, hakuna haja ya tank kwaajili ya mfumo wa drip. Mara nyingi tunaingizwa katika gharama za mfumo wa tank kutokana na influence ya wafanyabiashara wa mifumo ya umwagiliaji ambao huweka biashara mbele kuliko uhalisiaNamna gani hyo kiongozi!?
Pia ukubwa wa shamba lako kwa kupanda kitunguu uyahitaji wastani wa roller 10-12 hivi za mita 1000 kwa maana yae kuwa na matuta ya vitunguu yenye line 4-6@.Jamani habarini wana JF.
Niko mbioni kufunga drip irrigation system shambani kwangu. Nimeona niachane na miradi mingine kwanza nikomae na hili. Nataka nilime vitunguu saumu kwa shamba lenye ukubwa wa mita 70 kwa 70).
Maji tayari ninayo nilichimba kwa mtambo (drilling), na kisima kiko hapo hapo shambani. Kwa sasa navuta maji kwa umeme wa Tanesco. Shamba liko tambarare safi. Maji yanapotoka underground yanapanda na kuingia kwenye reserve tank niliyojenga kwa cement.
Nimenunua pampu aina ya Pedrollo kwa ajili ya kutoa maji kwenye reserve tank na kuunga kwenye mfumo wa drip, ila hiyo pampu sijaifunga kwa sasa. Itafanyika wakati wa kufunga drip system. Kwa wazoefu wa kufunga drip, natamani kujua niandae sh ngapi kiuhalisia kwa ajili ya materials, na sh ngapi kwa ajili ya fundi.
Nimeambatanisha picha hapo chini ili kupata ramani halisi kichwani. Hii pampu ya kusukuma maji (Pedrollo) inlet na outlet zake ni upana 1 inch. Je bomba linalofaa kuungwa kwenye drip system ni inch ngapi? Natamani mtu mzoefu kabisa aje anipe details kuliko kusema tu makadirio ambayo yanaweza yasiwe halisi.
Kapita kushoto!Junior uko wapi mkuu, jamaa wanatema miongozo huku huonekani.
Pampu inatoa maji kutoka chini ya ardhi ni 2HP, Submersible, umbali wa bore hole ni 100m. Sema sasa nimeshajenga tank la cement kama reserve ambayo ndo inakusanya maji, na pia nina tank ya plastiki (Polytank)Kama pump inapandisha maji bila shida mpaka juu ya ardhi, unaweza kuingiza moja kwa moja kwenye mfumo wa drip. Kikubwa ujue tu kuligawa shamba lako vizuri kwa kuzingatia pressure ya maji. Kiuhalisia, hakuna haja ya tank kwaajili ya mfumo wa drip. Mara nyingi tunaingizwa katika gharama za mfumo wa tank kutokana na influence ya wafanyabiashara wa mifumo ya umwagiliaji ambao huweka biashara mbele kuliko uhalisia
Pia ukubwa wa shamba lako kwa kupanda kitunguu uyahitaji wastani wa roller 10-12 hivi za mita 1000 kwa maana yae kuwa na matuta ya vitunguu yenye line 4-6@.
Kuna kipindi mambo ya mwajiri yananikaba hadi nakwama kuingia humu mara kwa maraJunior uko wapi mkuu, jamaa wanatema miongozo huku huonekani.
mie nadhani ameweka tank la reserve kutokana na matatizo ya umeme, si unajua umeme wetu hasa huko mikoani ni shidaHongera sana kwa hatua uliyofikia. Pengine ungeweka wazi pump inayotoa maji underground kwenda kwenye store ni ya ukubwa gani (hp ngapi). Maana kiuhalisia huna haja ya kuvuta maji underground kwenda kwenye tank, halafu uvute kutoka kwenye tank kwenda kwenye drip system. Badala yake ipo namna maji yanatoka underground moja kwa moja kwenda kwenye mfumo wa drip shambani.
Kama ni kwa hoja hiyo sawa.mie nadhani ameweka tank la reserve kutokana na matatizo ya umeme, si unajua umeme wetu hasa huko mikoani ni shida
Kama mambo ya mwajiri bado yanakukaba ni bora uka sort out hayo kwanza kabla hujaanza rasmi hii project yako.maana hiyo oroject inakuhitaji kwa karibu sana.yaani inahitaji muda wako mwingi maana naye ni kwijiri anayejitegemea.Kuna kipindi mambo ya mwajiri yananikaba hadi nakwama kuingia humu mara kwa mara
Kweli mkuuUmechimba kisima halafu unalima acre moja? Changamka wewe, weka acre 20 hapo kilimo sio hobby