Aminikweli
Member
- Oct 2, 2015
- 5
- 0
maji utapata lkn maji yasio na chumvi ni kumuomba mungu hakuna uhakika
0754608955
0717 700 931 piga bei pouw tunakufnyia
WEkeni bei nyie watu!!Mtafute jamaa humu Jf tawa driller,mm kwangu wamenichimbia kisima na napata Maji safi na salama kabisa....
Contact yake ni 0655541948
Mawasiliano nishatoa!mm mwenyewe tawa driller nlipata humu humu Jf na akanipigia kazi!WEkeni bei nyie watu!!
Kaka bei ya kuanziaMawasiliano nishatoa!mm mwenyewe tawa driller nlipata humu humu Jf na akanipigia kazi!
Wasiliana kwa namba ya Sim hyooo
Mimi alinichimbia kwa 64000 kwa Mita 1,na hiyo ni kuchimba,setting,hadi pump...na nmechimba Mita 45Kaka bei ya kuanzia
Tshs 64,000 x mita 45 = Tshs 2,880,000/=Mimi alinichimbia kwa 64000 kwa Mita 1,na hiyo ni kuchimba, setting, hadi pump...na nmechimba Mita 45
Sikufanya survey kwangu!majirani wamechimba kisima na huku kwetu Mita 35 mpk 45 unapat Maji safi.....ila Maji ndy nlipimaa yako vizuriTshs 64,000 x mita 45 = Tshs 2,880,000/=
Survey ulifanya? Ili cost ngapi?
Ulichimba eneo gani?
Maji yakoje?
Sehemu za kinondoniTshs 64,000 x mita 45 = Tshs 2,880,000/=
Survey ulifanya? Ili cost ngapi?
Ulichimba eneo gani?
Maji yakoje?
Jumla ilikuja kama 3,200,000,kuna kununua Maji masafi lita kama 6000 na garama zingine za ziada akama kujengea kisima na kuweka kifuniko,mabomba ya PVC etc....garama hizo ndg zakoTshs 64,000 x mita 45 = Tshs 2,880,000/=
Survey ulifanya? Ili cost ngapi?
Ulichimba eneo gani?
Maji yakoje?
Weka bei kamili mpaka kila kitu kumaliza ilikuwa kiasi gani, nasi tujue, na je ni eneo gani ulichimba, bondeni au mwinuko, na ni mji gani, katika wilaya ipiMimi alinichimbia kwa 64000 kwa Mita 1,na hiyo ni kuchimba,setting,hadi pump...na nmechimba Mita 45
Wilaya kinondoni ....sehemu kinondoni b.Weka bei kamili mpaka kila kitu kumaliza ilikuwa kiasi gani, nasi tujue, na je ni eneo gani ulichimba, bondeni au mwinuko, na ni mji gani, katika wilaya ipi
Asante sana mkuu,Wilaya kinondoni ....sehemu kinondoni b.
Sehemu tambarare.......sikufanya survey nmetumia akili na uwezo kwangu tu kuwambia wapi kuchimba maana sehemu yetu Maji yanapatikana...wakati mwingine ktk maisha jiongezeeee.
Mchimbaji nilimpata humu humu Jf anaitwa tawa driller na Ana uzi wake kuhusu uchimbaji wa kisima na garama zake....
Poa poa..chiefAsante sana mkuu,
kwani uwa hampimi kwanza mkuumaji utapata lkn maji yasio na chumvi ni kumuomba mungu hakuna uhakika
0754608955
Aise....kuchimba kisima huko ujipange basi!Wenzetu water table iko karibu sana naona, huku arusha maji unayapata mita 120- 180. Mpaka ufikie hatua ya kutumia maji uliyodrill imekugarimu mil38