Gharama za kuchimba kisima cha maji baridi

Aminikweli

Member
Oct 2, 2015
5
0
Habari za mida wadau.

Natafuta mtu au kampuni itakayoweza kunichimbia kisima cha maji yasiyo na chumvi kwenye shamba langu km 7 kabla ya kufika Bagamoyo mjini kwa bei nzuri ikiwemo installation ya pipes etc.

Mwenye ujuzi na mambo haya tafadhali anijuze makadirio ya bei.

Asante.
 
Back
Top Bottom