Gilbertlit
Member
- Jun 10, 2021
- 25
- 10
Hello habari wana jamvi, kwa mtu yoyote mwenye kampuni ya kusafirisha mizigo kutoka Tanzania kwenda nje ya Tanzania, ninataka kupeleka vitunguu Gaborone, Botswana vitunguu gunia 80, sasa hapo nafikiri nitahitaji gari aina gani kati ya fuso au scania ?
Alafu nahitaji kujua gharama zake mpaka kufika hapo Gaborone. Kuna mtu yoyote anaweza nisaidia kunipa connection na kampuni ya usafirishaji ?
Alafu nahitaji kujua gharama zake mpaka kufika hapo Gaborone. Kuna mtu yoyote anaweza nisaidia kunipa connection na kampuni ya usafirishaji ?