Nenda kituo cha zimamoto kilicho karibu watakupa maelezo mengi sana kuhusu vifaa hivyo. Pia kutokana na kukua kwa technolojia kuna detector zinazotumia betri ambazo unaweza kuiweka sehemu na ikatoa alarm pindi moshi unapotokea bei zake ni nafuu sana kuliko ile mifumo ya kuunganisha (system) ya kiasili ambayo gharama ni kubwa