do wat u think
JF-Expert Member
- Feb 18, 2017
- 318
- 240
Habarini wadau,
Naomba kujua gharama ya betri original ya PC ya HP kama headline inavyojieleza, nitashukuru sana kwa mchango wako. Ahsante.