M MansaMusa Senior Member Joined Sep 11, 2013 Posts 103 Reaction score 13 Oct 13, 2013 #1 Wana Jf, nina kiwanja Iringa mjini kina ukubwa kama wa Hekari moja. Nataka nikipime na nikate hati. Kwa anayefahamu itanicost Tsh ngapi, kukifanyia vipimo na kukata hati chote. Mchango wako ni muhimu ndugu.
Wana Jf, nina kiwanja Iringa mjini kina ukubwa kama wa Hekari moja. Nataka nikipime na nikate hati. Kwa anayefahamu itanicost Tsh ngapi, kukifanyia vipimo na kukata hati chote. Mchango wako ni muhimu ndugu.