kawombe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 16,077
- 18,541
Asanteinategemea na halmashauri husika kuna miezi 18 mpaka 36 ndiyo muda wa kibali kuisha.
Asanteinategemea na halmashauri husika kuna miezi 18 mpaka 36 ndiyo muda wa kibali kuisha.
na hili ni kosa kubwa wengi wetu hulifanya mwisho huishia majuto na hasara kubwa.Serikali ya mtaa hawatoe kibali chochote zaidi ya manispaa labda uwapooze tu wasikuletee wenge
pamoja.Asante
Wewe ni fala sana.tatizo ni kutaka shortcut ambayo huja kuwa longcut, fika halmashauri ya mji/wilaya au manispaa ukiwa na fomu zilizojazwa na majirani pamoja kuodhinishwa na viongozi wa mtaa/kijiji na kata (mwenyekiti, mtendaji wa mtaa/kijiji, na mtendaji kata) hapo utapewa control number ukilipia inabaki kupewa kibali cha ujenzi tu.