Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,481
- 167,331
Anata awe karibu na postaGym safi hapa nyegezi buku mbili kwa siku adi raha
Anata awe karibu na postaGym safi hapa nyegezi buku mbili kwa siku adi raha
yaani atoke posta aje mlimani city[emoji15] [emoji15]Aiseee njoo tufanye Jogging pamoja from Mlimani City via Chuo kikuu hadi Chuo cha Maji Ubungo tunaanza na Trip moja go return tukizoea tunapiga Double au tunazunguka tu
Hapa napigia upatu kwa majirani maana mazoezi kampaniyaani atoke posta aje mlimani city[emoji15] [emoji15]
Asubuhi magari sio mengi barabarani.Fresh air? Na hayo magari na vumbi?
Acha ubitozi!!....
Tafuta roller kwa ajili ya tumbo inauzwa elfu kumi na tano!!!
Fresh air kwa mtogole? Kila sehem dampo labda mwaka huu kwa kuwa sijapita hukoHuko niliacha kwenda baada ya kuona ninalipa hela na muda wa kwenda sina, siku hizi ninaamka asubuhi huku huku kwetu Kwamtogole ninakimbia nusu saa ninapata fresh air, ni bure na nikirudi nyumbani ninaoga na kwenda kazini.
uzuri w a gym unakuwa na trainer so hautegi zoezi ni zoezi kweli ukiwa alone unashindwa kujicoach mkuu .kama mtu ana hela acha aende gym hata mimi ningekuwa na mpunga ningeenda huku kwetu gym dolar 200!Roller elfu kumi kwakua yuko posta pale feri akiwa anavuka kwenda Kigamboni atazikuta.
Ubitozi auache haswa katika kuanza hayo mazoezi.
Wa kubebana nae hayupo? Utatoka vigimbi buree mtoto wa kike achana na hizo mambouzuri w a gym unakuwa na trainer so hautegi zoezi ni zoezi kweli ukiwa alone unashindwa kujicoach mkuu .kama mtu ana hela acha aende gym hata mimi ningekuwa na mpunga ningeenda huku kwetu gym dolar 200!
Asipotaja Sehemu unachukulia By Default(DAR-ES-SALAAM).Kila mkoa na wilaya kuna posta, unazungumzia posta ya wapi?
Nilimwelewa kuwa anamaanisha posta ya Dar, lakini niliamua nimpe changamoto tu kuwa posta zipo kila pahala nchiniAsipotaja Sehemu unachukulia By Default(DAR-ES-SALAAM).
Katika mazoezi utakayoamua kama huna trainer tafuta company hata ya mwenzio ukikosa tafuta strong will ya kufikia malengo yako.uzuri w a gym unakuwa na trainer so hautegi zoezi ni zoezi kweli ukiwa alone unashindwa kujicoach mkuu .kama mtu ana hela acha aende gym hata mimi ningekuwa na mpunga ningeenda huku kwetu gym dolar 200!
kutega ukiwa na trainer ni tofauti na ukiwa mwenyeweKatika mazoezi utakayoamua kama huna trainer tafuta company hata ya mwenzio ukikosa tafuta strong will ya kufikia malengo yako.
Trainer hazuii wewe kutega, Mfano wewe umesema ushamchekecha trainer wako utashindwa kutega kweli siku moja moja mama ake?
Umenikumbusha mbali sana..hiyo ilikuwa njia yangu ya kufanya jogging..nilikuwa naanzia Lufungila,Maji,napandisha Mlimani,Udasa,Ardhi hadi hostel za majengo yaliyokuwa ya CRDB.Aiseee njoo tufanye Jogging pamoja from Mlimani City via Chuo kikuu hadi Chuo cha Maji Ubungo tunaanza na Trip moja go return tukizoea tunapiga Double au tunazunguka tu
Mkuu bado tunapiga Jaramba mdogo mdogo at least barabara ya chuo kikuu haina BODABODA za kusumbua ni magari tu na madereva kidogo wanajali.Umenikumbusha mbali sana..hiyo ilikuwa njia yangu ya kufanya jogging..nilikuwa naanzia Lufungila,Maji,napandisha Mlimani,Udasa,Ardhi hadi hostel za majengo yaliyokuwa ya CRDB.
Kila la kheriMkuu bado tunapiga Jaramba mdogo mdogo at least barabara ya chuo kikuu haina BODABODA za kusumbua ni magari tu na madereva kidogo wanajali.
Nyegezi sehem gani na inaitwaje Mara kadhaa huwa niko mwanzaGym safi hapa nyegezi buku mbili kwa siku adi raha
Ipo sehem gan? M nahiitaj niko hapa nyegeziGym safi hapa nyegezi buku mbili kwa siku adi raha
Nadhani ni hapo karibu na kumalija hotel.Ipo sehem gan? M nahiitaj niko hapa nyegezi