Kwa hesabu zako kwa watu 120 watalipa 2000 kwa mwezi, nafikiri ni very good deal ikiwa hivyo, ila nafikiri itasaidia sana kwenye community kama vyuo vikuu ,Hospitals , mashule etc maana wataweza kuwa na very fast internet kwa watu wao, kwa chuo kikuu kuwa na starlink 10 kulipa hiyo bei ni very good deal