Gharama ya damu ya wanzanzibar ni umakmu wa Ris tu basi!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
7,171
9,397
Ukifuatilia hali ya siasa zETU UNAWEZA UKAKATA TAMAA YA KUISHI!Huwa najiuliza hivi Wazanzibar kumbe walichokuwa wanagombea ni madaraka kwa wachache tu! Hivi wale watu waliokufa wakifufuka leo !wakamkuta Kamanda wao aanasimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM watasema nini!
AU UCHAGUZI WA MWAKA 2015 cuf WATAKUWA WANANADI ILNI TENA !
Nafasi ya CUF kuwa chama cha upinzani cha kuaminika Tnzania bara iko wapi !Kuna kila dalili kuwa muungano unaaza kufa kifo cha polepole!
 
..bora Zenj kumetulia sasa tunapata nafasi ya kushughulikia matatizo ya Tanganyika.
 
muda umefika wa kua na tanganyika yetu tusilaze dam, tayari wa zenji wameungana na tayari wanaanza kuudai utaifa wao, sasa ni zamu yetu
 
wakuu,
kwa umoja wetu tuifufue Tanganyika yetu....mpaka kieleweke.
huwa ninashangaa watu wanaowabeza CUF ...kwa kweli wanatusaidia sana katika kuona makosa yetu na kutufungua macho.
Ninafurahi kuona wanaJF tunaanza kufunguka macho..lile changa la macho la Muungano lilikuwa kiboko! Mazingaombwe ya muungano yanaisha nguvu zake kidogo kidogo.
 
Back
Top Bottom