bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,651
Habari za usiku wadau,
Jamani samahani naombeni kuuliza kwa wenye taarifa za sasa kuhusu gharama halali na halisi ya Affidavit kwa mtu asiye na cheti cha kuzaliwa maana kuna vijana wangu nimewaelekeza mahali flani waende kufuatilia Affidavit form nikifahamu ni gharama isiyozidi sh.3500 kama haijabadilika kama nilivyowahi kuichukua kwa ajili ya mtegemezi wangu mmoja 2017 ila kilichonishtusha ni kuwa leo hii 07/8/2019 vijana wangu wameenda Dodoma mahakama moja wakakutana na tapeli mmoja kawaambia kuwa Affidavit ni sh.30,000/= kitu kilichowakatisha tamaa na kuondoka.
Sasa kwa kweli nimesikitishwa na hawa watendaji wasio na hofu na pesa za wenzao sasa naomba ambaye anafahamu bei ya sasa kama kuna mabadiliko yoyote anijuze maana nataka niwarejeshe tena wamfuate huyohuyo tapeli na kumpa conditions awashughulikie swala lao kwa bei halisi na kama atakataa niwape maelekezo wampelekee hela ya moto maana naona hapo anataka Rushwa.
Karibuni.