GHANA Ni Team ya Taifa Pendwa sana Na Waafrika Wengi hata Ulimwenguni kiujumla, sababu ni hii

wako na standards za kistaarabu za kipekee sana mathalani kwenye michezo, siasa, uchumi na utamaduni.....

hawanaga baya, chuki wala kisasi na mtu.
Iwe umewadharaua, umewachokoza, umewabeza au hata kuwatukana.....

For sure wanapendeka zaidi kwa matendo yao achilia mbali maneno 🐒
The Best In Africa
 
Ghana ilikuwa zamani ila kwa sasa hawana tofauti sana na hii timu yetu ya ccm kwani hawana vipaji kama walivyokuwa navyo kipindi cha nyuma.
 
Back
Top Bottom