Ghalib Bilal ndio turufu sahihi ya kuing'oa CCM

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
8,216
7,907
Pamoja na kwamba Lowassa ni muhimu sana kuja UKAWA ili kuilaza chali CCM, lakin mtu mwingine ambaye ni sahihi, ambaye ataturahisishia hii kazi na kuifanya iwe nyepesi zaidi ni mh GHALIB BILAL.

Hii kete ni muhimu sana na ndio kingi!, Bilal aje UKAWA agombee urais huku mgombea mwenza wake akiwa Dr. Slaa yaani hapo nawaambieni CCM chali asubuhi tu.

Hii pia itapunguza ule wimbo wa fisadi ambao CCM wanauimba sasa ingawa sio inshu sana, na pia itatuhakikishia kura za Unguja make za Pemba tayari tunazo, na katika kampeni tutaonyesha tunaenzi muungano kwa vitendo huku tukiwarushia CCM makombora kwamba wanaenzi muungano kwa porojo.

Formula itakuwa hivi; DR SLAA kura za bara+DR BILAL kura za visiwani+LOWASSA kuzuia goli la mkono=USHINDI UKAWA
 
good combination....lakini kuna yule Mzee Moyo....alieondoka ccm ni kiungo muhimu sana,,,,!! UKWELI..tusipafanya mabadilko mwaka huu..hatuwezi tena....mpka yesu arudi.....wenzetu kenya, zambia, malawi...wanasonga kwa kuonja mabadilko...ondoa mfumo wa kifalme kwanza tuanze fresh....ili ni muhimu naamini kitendo cha EL kuwa ukawa...focus ya ccm yote itakuwa urais na nguvu zao zote....but ukawa ibalance hata majimbo....kama itakosa uraahis basi hata serikali ya mseto iwepo....ndio nchi itatia akili......

Hoja kadhaa za kusimamia wakt wa kampeni :
  • Kuanza mpya mchakato wa katiba na kuleta katiba ya warioba bungen hiyo iwe ndio kauli mbiu
  • kufuta mikataba yote ya dharula hasa huu wa gesi lazima uanze upya
  • Escrow....tunataka majina ya stanbic na hatua zitakazo chukuliwa
  • Waliouziwa nyumba na magufuli zile za serikali ziejeshwe ktk serikal
  • Mchakato wa kuipa tenda NIDA ya vitambulisho vya kitaifa
  • ongeza mengine....yanayokera nchi hii
 
Wee ndo unaota Mchana. Bilal hawezi hata shinda kura za maoni ya Ubunge huku bara, sembuse Uraisi!!!
 
Namba moja na namba mbili sawa. Hivyo vingine vipe nyama basi!

Serikali mpya itaifanyia nini TZ tofauti na CCM ili iweze kupunguza umaskini?
 
Bilal kugombeaaa noooooooooo...hawezi kuongeaa, hana mvuto, ila aje kama member tu UKAWA...

Hawezi urais..... umakamu tu hawezi...!!!

Lowassa ndio kila kitu....!!!

Bilal kama anataka aje tu kama member...basiii
 
Pamoja na kwamba lowassa ni muhimu sana kuja ukawa ili kuilaza chali ccm, lakin mtu mwingine ambaye ni sahihi, ambaye ataturahisishia hii kazi na kuifanya iwe nyepesi zaidi ni mh GHALIB BILAL. Hii kete ni muhimu sana na ndo kingi!, bilal aje ukawa agombee urais huku mgombea mwenza wake akiwa dr slaa yaani hapo nawaambieni ccm chali asubuhi tu. Hii pia itapunguza ule wimbo wa fisadi ambao ccm wanauimba sasa ingawa sio inshu sana, na pia itatuhakikishia kura za unguja make za pemba tayari tunazo, na katika kampeni tutaonyesha tunaenzi muungano kwa vitendo huku tukiwarushia maccm makombora kwamba wanaenzi muungano kwa porojo. Formula itakuwa hivi; DR SLAA kura za bara+DR BILAL kura za visiwani+LOWASSA kuzuia goli la mkono=USHINDI UKAWA

Mkuu jiandae kwa mafuriko...Bilal +Karume soon wanajoin UKAWA /CUF
 
Mkuu kama hii ni kweli bas tuanze kusogeza mabegi yetu pale magogoni, au kila kitu kinapatikana pale? Make nasikia vitanda, viti, masufuria,nk vipo!
 
Pamoja na kwamba Lowassa ni muhimu sana kuja UKAWA ili kuilaza chali CCM, lakin mtu mwingine ambaye ni sahihi, ambaye ataturahisishia hii kazi na kuifanya iwe nyepesi zaidi ni mh GHALIB BILAL.

Hii kete ni muhimu sana na ndio kingi!, Bilal aje UKAWA agombee urais huku mgombea mwenza wake akiwa Dr. Slaa yaani hapo nawaambieni CCM chali asubuhi tu.

Hii pia itapunguza ule wimbo wa fisadi ambao CCM wanauimba sasa ingawa sio inshu sana, na pia itatuhakikishia kura za Unguja make za Pemba tayari tunazo, na katika kampeni tutaonyesha tunaenzi muungano kwa vitendo huku tukiwarushia CCM makombora kwamba wanaenzi muungano kwa porojo.

Formula itakuwa hivi; DR SLAA kura za bara+DR BILAL kura za visiwani+LOWASSA kuzuia goli la mkono=USHINDI UKAWA

Wewe Sexer, unaelewa unachokiandika, unaufahamu kweli wewe na siasa za hii nchi. Hivi leo umekula kweli wewe?

Hebu kaa utulie uupitie tena huo uzi wako, ikiwa bado una msimamo ule ule basi kuna shida kichwani kwako.
 
Last edited by a moderator:
Mojawapo ya kanuni bubu haimruhusu Bilal kugombe. Ile ya kupokezana dini. Ni kanuni bubu lakini inadumu na kufanya kazi
 
good combination....lakini kuna yule Mzee Moyo....alieondoka ccm ni kiungo muhimu sana,,,,!! UKWELI..tusipafanya mabadilko mwaka huu..hatuwezi tena....mpka yesu arudi.....wenzetu kenya, zambia, malawi...wanasonga kwa kuonja mabadilko...ondoa mfumo wa kifalme kwanza tuanze fresh....ili ni muhimu naamini kitendo cha EL kuwa ukawa...focus ya ccm yote itakuwa urais na nguvu zao zote....but ukawa ibalance hata majimbo....kama itakosa uraahis basi hata serikali ya mseto iwepo....ndio nchi itatia akili......

Hoja kadhaa za kusimamia wakt wa kampeni :
  • Kuanza mpya mchakato wa katiba na kuleta katiba ya warioba bungen hiyo iwe ndio kauli mbiu
  • kufuta mikataba yote ya dharula hasa huu wa gesi lazima uanze upya
  • Escrow....tunataka majina ya stanbic na hatua zitakazo chukuliwa
  • Waliouziwa nyumba na magufuli zile za serikali ziejeshwe ktk serikal
  • Mchakato wa kuipa tenda NIDA ya vitambulisho vya kitaifa
  • ongeza mengine....yanayokera nchi hii
Jingine hili hapa:
* Magari mazito marufuku barabara za lami. Reli itafufuliww na kuimarishwa hivyo kulinda barabara za maskini.
 
Naendelea kuwasoma naona mnaandika mambo meeeengiiiii kweli kweli.
Kumbe mnahitaji booster kidogo tu kumwagika namna hii?
Ngoja nikaongee na Magufuli nae ahamie Ukawa labda mtazidi kuendelea kumwagika
 
-Msisahau kuhusu kule mitaa ya kwa EL umasaini wale waarabu waliouziwa eneo wakalifanya la kwao na kuwafanya wamasai wawe vagabongs in their own land.
-Kupitia upya mkataba wa kujenga Port Bagamoyo as soon as possible.
-Ntaendelea na list baadae
good combination....lakini kuna yule Mzee Moyo....alieondoka ccm ni kiungo muhimu sana,,,,!! UKWELI..tusipafanya mabadilko mwaka huu..hatuwezi tena....mpka yesu arudi.....wenzetu kenya, zambia, malawi...wanasonga kwa kuonja mabadilko...ondoa mfumo wa kifalme kwanza tuanze fresh....ili ni muhimu naamini kitendo cha EL kuwa ukawa...focus ya ccm yote itakuwa urais na nguvu zao zote....but ukawa ibalance hata majimbo....kama itakosa uraahis basi hata serikali ya mseto iwepo....ndio nchi itatia akili......

Hoja kadhaa za kusimamia wakt wa kampeni :
  • Kuanza mpya mchakato wa katiba na kuleta katiba ya warioba bungen hiyo iwe ndio kauli mbiu
  • kufuta mikataba yote ya dharula hasa huu wa gesi lazima uanze upya
  • Escrow....tunataka majina ya stanbic na hatua zitakazo chukuliwa
  • Waliouziwa nyumba na magufuli zile za serikali ziejeshwe ktk serikal
  • Mchakato wa kuipa tenda NIDA ya vitambulisho vya kitaifa
  • ongeza mengine....yanayokera nchi hii
 
Pamoja na kwamba Lowassa ni muhimu sana kuja UKAWA ili kuilaza chali CCM, lakin mtu mwingine ambaye ni sahihi, ambaye ataturahisishia hii kazi na kuifanya iwe nyepesi zaidi ni mh GHALIB BILAL.

Hii kete ni muhimu sana na ndio kingi!, Bilal aje UKAWA agombee urais huku mgombea mwenza wake akiwa Dr. Slaa yaani hapo nawaambieni CCM chali asubuhi tu.

Hii pia itapunguza ule wimbo wa fisadi ambao CCM wanauimba sasa ingawa sio inshu sana, na pia itatuhakikishia kura za Unguja make za Pemba tayari tunazo, na katika kampeni tutaonyesha tunaenzi muungano kwa vitendo huku tukiwarushia CCM makombora kwamba wanaenzi muungano kwa porojo.

Formula itakuwa hivi; DR SLAA kura za bara+DR BILAL kura za visiwani+LOWASSA kuzuia goli la mkono=USHINDI UKAWA
Kwa mpango huu CCM itatawala miaka 100,kwani wote hao ni wana CCM,kama ilivyo Kenya watu wanadhani KANU imekufa wakati viongozi wa Kenya kwa sasa wote ni KANU,Moi alipata kusema KANU itatawala miaka 100 na ndivyo CCM kupitia kwa UKAWA watatawala miaka 100
 
Back
Top Bottom