Poor boy he will spend the rest of his life in prison. What a waste of life!.
Siwezi kukubali au kukataa kwamba huyu kijana ameshiriki, lakini kuna uhakika gani beyond reasonable doubt kwamba huyu ameshiriki?
kwanza mateso aliyopata kwa miaka kadhaa kule Guantanamo kabla ya kesi yake kwenda mahakamani inamlazimisha kukubali.
Mshtaki ngedere, hakimu ngedere - hukumu ya kweli itapatikana hapo? Kesi yenyewe inaendeshwa kwa kiingereza na ni uhakika kwamba huyu kijana itakuwa amefika Form 3 au Form 4, kiingereza cha mwendo wa kesi huo alikielewa? ndiyo maana alishindwa kujitetea kutokana na kutokuelewa lugha inayoongelewa.
Ningekubali zaidi kama hii kesi ingeendeshwa in one of the European countries (Germany, France, Belgium....) na judge wake kuhukumu hii. Hapo ningeona haki imetendeka.
Tumeona jinsi wenzetu Waingereza walivyoweza kuwatetea raia wao, sisi hata kuulizia mwenendo wa kesi hata siku moja haikufanyika.
ni vyema ukawaona watu walioachwa vilema, au kufiwa ndugu zao hapa Tanzania na Kenya kwa sababu ya Ghailani kushiriki katika kadhia ile na ukawaambia upupu wako huu.
Unaandika hivi kwa sababu hukuathirika kwa namna yo yote ile. Cha msingi vijana wasijiingize katika vitu wasivyojua madhara yake. Ghailani aliwahi kusema kuwa hajawahi kumwona Osama na wala hajawahi kutekeleza amri ya osama, unadhani hakujua kuwa ni kazi ya osama, au ni ujinga ule ule wa kukurupukia vitu usivyovijua kwa kuahidiwa mkate?, the job was under osama's command. and osama claimed credit for it. Ghailan alikataa mashtaka tu, na hakukataa kushiriki.
Pia hizo nchi zote za europe ulizozitaja ni members wa NATO iliyo under control na US kutokana na US kuchangia fedha nyingi katika NATO. ashukuru US alipewa hata wakili amefanikiwa kumtetea asinyongwe. Ingekuwa hapa bongo angeshafia mahabusu siku nyingi.