Hahahahahaaaa!!!Baba hapo hata teja atageuka HUSSEIN BOLT
Halafu mkifika mjini hata kibajaji tu... kiulaiiiniiii... kwishnei!...😀😀😀
situation kama hizi tunaziweza wanaume wa mikoani tu!
ipi suratul fatiha ama [emoji15]Hapa nasoma ILE SURA mara 3 tu.
huyu mbona rahisi kumkwepa, kama kuna matuta kimbilia matuta hapo utamuweza, vile vile kata kona ghafla yeye atapitiliza baadae ataanza kukutafuta kwa harufuHahahahha utakimbia mpka miguu izame tumbon
AhsanteAnaitwa USAIN BOLT