ghafla unaanguka!

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hapo unakata kona gafra,yeye anaenda kugeuza mita 100 mbele...
 
Hapo kukwepa in rahisi sana, unaanguka chini yeye atapitiliza maana huwa haangalii chini na asipokuona in mwepesi kuahirish kukufatilia kwa hiyo hataendelea kukufatilia ila atabaki hayo maeneo anakula nyasi, cha kufanya tambaa mpaka mbali upande wa nyuma yake then inuka nenda taratibu. Ilikuwa mwaka 2014/2015 nilikumbana na hiyo situation mbugani kakese huko Mpanda nikiwa nalima mpunga, Mara ya kwanza ndo naanza kulima mpunga nimeamka SAA Tisa usiku nilimkuta anachunga majarubani nikamlika tochi jamaa akaja ilibidi nilale majini mpaka asubuhi SAA kumi na mbili, Mara ya pili mpunga umekua viboko wakaanza kula, ikabidi tuanze kulinda usiku wakiwafuata inabidi mlale baadaye tulitafuta guns ndo wakaondoka.
 
mkuu kwa hapo ukilala chini ndo imebaki story karibu sana hapo!

hongera kwa kuwa jasiri..😀
 
mkuu kwa hapo ulilala chini ndo imebaki story karibu sana hapo!

hongera kwa kuwa jasiri..😀
Mkuu huwasiisahau hii siku tope pamoja mbu Massa masaa mawili na jamaa lipo karibu tu mpaka kulipopambazuka ndo akaelea mtoni. Mkuu kipindi hicho nimekosa boom nikaama kuingia huko ndani baada ya kuahirisha chuo UDOM. Nashukuru Mungu nilipata gunia 46 za mpunga na kurudi chuo baada ya mwaka mmoja na nipo mwaka wa pili sasa na boom juu.
 
Hongera mkuu umepitia ktk ugumu wa maisha hii inadhihirisha kuwa watu hupitia maisha magumu sana Ila Mungu aendelee kukupigania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…