kapistrano
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,244
- 455
Kwa yeyote mwenye taarifa zake jamani atueleze ni nini kimempata maana ni siku nyingi sana sijaona thread zake na michango yake mbalimbali yenye kufundisha wana CHI-CHAT walio wengi watakubalina na mimi kuwa huwa anamichango mizuri na yenye kufundisha nawasilisha!