Gf kanimwanga,rafiki yake ananitaka. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gf kanimwanga,rafiki yake ananitaka.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kampini, Nov 27, 2011.

 1. K

  Kampini Senior Member

  #1
  Nov 27, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna binti ambaye nilifungua pazia mwenyewe lakini alivoingia chuo amenimwaga mwaaaa! Rafiki yake wa karibu sana ananitaka niwe naye kimapenzi,je nimkubalie huyu rafiki yake au kuna kamchezo wanataka kunichezea? Nawasilisha.
   
 2. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #2
  Nov 27, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,978
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  mhm...hapa its tricky
  wee naona bora ukae mkao wa kumega na kuenjoy tuu
   
 3. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #3
  Nov 27, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  mbayuwayu usimsahau hapo!
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Nov 27, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Hivi utafurahia hayo mahusiano?
   
 5. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #5
  Nov 27, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mfanyie kama president david palmer wa 24 alivyokafanyia kale kabinti kasaidizi kake....mkubalie kisha mpe promice ya kumuona private huku ukimwandaa kimpodo mpodo akifika msogelee karibu mshike mikono kimahaba kisha mwambie neno moja tu 'sidanganyiiki' kisha sepa....then...
   
 6. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #6
  Nov 27, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  chek situation kwanza-kama mambo ni shwar-kula
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  bora ujile mwenyewe.
   
 8. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #8
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,273
  Likes Received: 3,005
  Trophy Points: 280
  kwani ni lazima kuwa naye c utafute mwingne...au ww ndo wamtaka mkuu
   
 9. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #9
  Nov 28, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ​kuwa makini hapa kuna UWALAKINI
   
 10. K

  Kampini Senior Member

  #10
  Nov 28, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli kabisa hata mie nahisi hivo japo sijakutana naye.
   
 11. K

  Kampini Senior Member

  #11
  Nov 28, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yeye ndo ananitaka!
   
 12. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #12
  Nov 28, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  mmege fasta huyo demu,usimcheleweshe asije akaghairi. Nalog off
   
 13. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #13
  Nov 28, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Achana nae huyo tafuta mwingine.
   
 14. p

  pansophy JF-Expert Member

  #14
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Issue cio nani anamtaka mwenzie, mabinti pia wanaruhusiwa kutongoza. Kama unampenda chukua mzigo muanze maisha
   
 15. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #15
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  We kula kitumbua then toka nduki mkuu.
   
 16. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #16
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hahaaa hawa Mabinti wakishaenda chuo huwa wanazuzuka sana, hata huyo rafiki yake atakubwaga vilivile potezea hivyo vitoto vya chuo cheki mambo yako mengine mzee usije ukatumia ubongo wako kufikiria sana kuhusu hivyo vitoto vya chuo
   
 17. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #17
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Hivi nyie wavulana? Hamna kitu kupenda? Mwanamke akikutaka tu, lazima umvulie chupi? Heshima yenu inazidi kuporomoka!
   
 18. CtVKiLaZA

  CtVKiLaZA JF-Expert Member

  #18
  Nov 28, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Achana naye huyo. Je siku mkiachana na yeye rafiki yake naye akijileta, utakuja kutuuliza hapa JF??
   
 19. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #19
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Mwambie siku ya kuja kukutana naye,aje na rafiki yake aliyekumwaga.
   
 20. kashengo

  kashengo JF-Expert Member

  #20
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 2,632
  Likes Received: 449
  Trophy Points: 180
  mkuu uko controversial kinoma we ni kumegana tu..
   
Loading...