TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 15,263
- 25,535
Habari wadau.
Imefahamika jana kama siyo juzi kutokana na utumbuliwaji wa majipu ulioanzishwa na Rais Dr. JPM, hii ilinifanya nikumbuke wakati nilipotapeliwa kupitia geti hilo kama ifuatavyo.
Jamaa alikuja ofisini kwangu ma kudai ana computer zimekuja ila pesa za kugomboa toka bandarini zimepungua hivyo aliniomba niongozane naye mpaka bandarini na tulienda moja kwa moja mpaka geti no.5, ambapo kwa ufupi tuliingia ndani ila jamaa aliniacha na pesa yangu kiasi flani, alipokwenda kufanya clearly ya hizo computer.
Nilipowaambia wale askari wa bandari cha ajabu badala ya kunisaidia waliniambia pole ila mwenzako yule pale naye katapeliwa kama wewe!!.
Kwa hiyo hilo geti ilionekana ni kawaida ya uchafu mwingi kufanyika na kupitishiwa hapo.
Ni hatari sana.