Geti la Ikulu

M kuna siku nilikua nafatwa na wale tausi mbele ya ofisi ya makamu wa raisi dah makachero wakanibeba wakanisach begi langu wakakuta dawa moja ya ulcers ya kienyeji wakaniachilia jamaa wako peace sana japo kiswahili yao ya tabu
Mkuu kiswahili yao ya tabu kivipi mkuu?

Sent from Nokia 7 Plus
 
White House raia wanaruhusiwa kusogea hadi kwenye uzio na kuna wakati wanafanya tour baada ya kupata security clearance.
Hiyo ya Tour ilisitishwa baada ya September 11;
 


😆🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😆😆😆😆😀😃

Hizi stori za watu kupigwa adhabu huwa zinachekesha kama nzuri vile daah
 
Ulinzi wa Ikulu ule mzito upo pande ya pili kigamboni, kuna kambi ya jeshi special for that. Ni sekunde tu kukudaka au kukumwaga ubongo from kule. Hivyo usione wale ffu sijui wawili pake getini na wale wa "bashite" around the fence ukadhani ndio hao tu, wale ni mapambo ya mbele tu. Hakika ukujua yote panatisha. Paheshimuni tu.
 
Labda waliosafiri nchi za wenzetu watupe experience ikulu nyingine zikoje?
Labda ndio code ya ikulu dunia nzima

Sent using Jamii Forums mobile app
White House kwa Trump na Buckingham Palace kwa Malkia Elizabeth ni maeneo yanayopokea watalii wengi - zipo garden maalum za kupendeza kuzunguka makazi ya viongozi hao waweza kupiga selfie zako za kutosha, lkn si kila mahali utaruhusiwa kufika..

Sasa tofauti inakuja - viongozi wa Marekani na Ulaya ni watumishi kwa raia waliowachagua, lkn viongozi wa Africa Tanzania ikiwemo wana madhambi mengi kiasi hawawezi kuruhusu makazi yao raia wakaribie, imagine hata picha tu huruhusiwi kupiga!
 
Jamaa yako alikuambiaje
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] raia mnafurahisha yaani mnapenda kupimapima mambo [emoji23]
Sasa niwaaibieni tu Siri moja, watz tunatabia ya ukaidi, unaweza kuambiwa usipite hapa wewe unapita, ilimradi tu uoneshe umwamba. Ndugu yangu pale magogoni ukiwa unapita kwa barabara ile pita km unapita acha kuchunguza chunguza visivyo kuhusu itakukost.
Mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha pole mkuu, af jamaa hata hakuangaika na wewe ulivyomwambia mbona wale wanapita....
 
Aisee hatari sana.
 
Mnahofia tu pale ni wapole wakarimu kuliko mnavyodhani wanajua kusikiliza shida za mtu na kumsaidia anakotaka kwenda kama Inawezekana watakufikisha isipokuwa ukienda kwa nia mbaya wao ni wabaya zaidi yako nenda kwa nia nzuri kuna ukumbi mzuri na viti utasubili zamu yako utapelekwa kwa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katiba inasemaje kwa raisi wa awamu ya tano ofisi zake zisiwe wazi? Ile Barabara aliyopewa Obama ndio basi tena imefungiwa
 
Nitakatiza nikiwa full na uniform za chama cha mkulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…