AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,653
- 4,758
- Thread starter
-
- #21
Taratibu zikoje...na mimi nikatalii just kidogoWhite House raia wanaruhusiwa kusogea hadi kwenye uzio na kuna wakati wanafanya tour baada ya kupata security clearance.
Labda na bongo tunaruhusiwa lakini kwa instinct zaku siwezi jaribu kusogelea ule ukuta wasijenifanya kitu kibaya jamaa wale
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio nataka nipeleke shida zangu zitatuliwe...No chance for saying hi. at working time. Not only at State House but in all working places. Working hours it is time for work.
Ungeenda tu maana majaama yange kuongelesha kihutu nakitusi sijui ungejibu niniNaamini wengi tulishawahi kupita maeneo ya magogoni pale, kwenye nyumba ya mkuu wa nchi...ile ni ofisi kama zilivyo ofisi zingine za umma...na huwa wanaacha wazi geti lao wazi 24 hours na wala hakuna aliye getini...lakini kuna kakitambo kidogo kutoka getini mpaka kwenye ofisi za raisi zilipo...
Lakini cha kushangaza...HAKUNA CONCENTRATION YA WATU ENEO LILE...WALA MUONEKANO WA WATU WAKIINGIA NA KUTOKA IKULU KUPATA HUDUMA MBALI MBALI ZA UMMA KAMA ZILIVYO OFISI MBALIMBALI ZA UMMA...SANA SANA NI MAGARI TU YA KIFAHARI YANAINGIA NA KUTOKA NA WATU WENYE SUTI SUTI TU NA TINTED...NA VING'ORA...
KWANINI LABDA...?
HEBU NIFUNGUENI MACHO...SIKU MOJA NILITAKA NIENDE NIKAMUONE MKULU NIKAMPE HATA HAI...nikapige hata selfie...kama zilivyo garden nyingine...maana pale ikulu kuna garden safi sanaa...
Aisee ni kweli...Nakumbuka siku moja niliingia matatani na jamaa wa suti nyeusi wale nakuaga kule nyuma ya ikulu beach kule wanao jifanyaga nao eti wanapanga upepo na hata mashati unaweza kuta wamevua.
Alikuja jamaa yangu kutoka mkoa hivyo nikaamua nimpeleke akaone bwana mkubwa wa wakati huo NKAPA anapoishi. Sasa kwa uzoefu wangu wa ule ukuta unaozunguka nyumba nyeupe kila baada ya mita tano au sita Kuna nguzo ya taa pamoja na vioo/camera ambavyo kazi yake wote twaijua.
Wakati tunapita kule upande wa beach nikawa namuelezea mgeni wangu juu ya hivyo vioo viliyo uzunguka ule ukuta wa nyumba nyeupe.katika hali isiyotarajiwa nilikuta mtu ananishika bega na kuanza nihoji vioo gani hivyo navyo zungumzia. Nilifikiria anatania tuu kumbe jamaa alikua kazini hasaaa.
Ashukuliwe mungu sikua na nia mbaya na Ile nyumba nyeupe, japo ilikua mbinde sana hadi kuwa huru.
Zama hizi za jiwe sio busara kabisa unapopita mitaa Ile kujaribu kukodolea macho eneo lile.
USOGA WI KUA KATI MWINA NSONGOO
Siku moja nilikuwa naelekea pale MWALIM NYERERE INTERNATIONAL CONFERENCE CENTRE...SIKUJUA KAMA KUNA EVENT PALE RAIS ANAENDA...M kuna siku nilikua nafatwa na wale tausi mbele ya ofisi ya makamu wa raisi dah makachero wakanibeba wakanisach begi langu wakakuta dawa moja ya ulcers ya kienyeji wakaniachilia jamaa wako peace sana japo kiswahili yao ya tabu
huwa wanaacha wazi geti lao wazi 24 hours na wala hakuna aliye getini...
Kiswahili yao ni tabu kivipi Mkuu?M kuna siku nilikua nafatwa na wale tausi mbele ya ofisi ya makamu wa raisi dah makachero wakanibeba wakanisach begi langu wakakuta dawa moja ya ulcers ya kienyeji wakaniachilia jamaa wako peace sana japo kiswahili yao ya tabu
Huduma gani kwa umma zinapatikana pale?Naamini wengi tulishawahi kupita maeneo ya magogoni pale, kwenye nyumba ya mkuu wa nchi...ile ni ofisi kama zilivyo ofisi zingine za umma...na huwa wanaacha wazi geti lao wazi 24 hours na wala hakuna aliye getini...lakini kuna kakitambo kidogo kutoka getini mpaka kwenye ofisi za raisi zilipo...
Lakini cha kushangaza...HAKUNA CONCENTRATION YA WATU ENEO LILE...WALA MUONEKANO WA WATU WAKIINGIA NA KUTOKA IKULU KUPATA HUDUMA MBALI MBALI ZA UMMA KAMA ZILIVYO OFISI MBALIMBALI ZA UMMA...SANA SANA NI MAGARI TU YA KIFAHARI YANAINGIA NA KUTOKA NA WATU WENYE SUTI SUTI TU NA TINTED...NA VING'ORA...
KWANINI LABDA...?
HEBU NIFUNGUENI MACHO...SIKU MOJA NILITAKA NIENDE NIKAMUONE MKULU NIKAMPE HATA HAI...nikapige hata selfie...kama zilivyo garden nyingine...maana pale ikulu kuna garden safi sanaa...
Anamaanisha hio iliyochorwa maua kwenye avatar yakoDsmicSound=DSM + Sound
Mkuu usidhani kila kitu ni lazima kifanane na kingine, wale ni wamarekani sisi ni watanzania, kiufupi hata utaratibu wa nyumbani kwako hauwezi kufanana na utaratibu wa nyumba nyingine, ngoja nikupe kisa kimoja, mimi ni mzaliwa wa nyanda za juu kusini lakini katika kuhangaikia maisha nikajikuta nimedondokea Tanga maeneo ya Korogwe.White house marekani watu wanazama ndani , kuna historia mule wanapiga maselfie katika harakati za hapa na pale MARA TRUMP huyu hapa anapiga selfie na makids πππ magogoni utasubiri boss.
Mastudent wanakuwa na tour kabisa ya kwenda kwa trump