Geti la Boss


Joined
Feb 12, 2007
Messages
11,649
Likes
120
Points
160

X-PASTER

Moderator
Joined Feb 12, 2007
11,649 120 160
Boss mmoja aliingia kazini kwake kasahau kufunga zipu ya suruali yake sasa secretary wake akamfuata na mazungumzo yakawa hivi:

SECRETARY: Boss leo umesahau kufunga geti nyumbani kwako...

Boss akabaki anashangaa... Baadae wakati anakwenda chooni kujisaidia ile anataka kufungua zipu akaikuta iko wazi ndio akajua alichokuwa ameambiwa na Secretary wake.

Akarudi mpaka kwa secretary na mazungumzo yakaendelea:

BOSS: Bibie ulivyoona geti wazi je uliona benz langu lime paki au...?

SECRETARY: Hapana Boss niliona kitoroli kidogo kimepaki kina matairi mawili
 

GP

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2009
Messages
2,070
Likes
20
Points
135

GP

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2009
2,070 20 135
ningekua mimi bosi namlima barua ya kumtimua, yani anasema kaona 'toroli' badala ya 'benz', hii ni ZALAU na si dharau!
 

Forum statistics

Threads 1,204,021
Members 457,048
Posts 28,138,548