pole zake ale sana na maji mengi sana atapona bila kusahau maagizo ya daktari..^^
Wana jf na MMU members, mwanachama mwenzetu nameless girl anaumwa. Kwa sasa yupo nyumbani bado hajisikii vizuri. Taarifa hii ni kwa mujibu wake mwenyewe.
Get well soon best !!!
Lets pray for her
^^
Namuuguza. Thankx God anaendelea vizuri
Duh! na mimi nikiumwa sijui nani atatoa taarifa JF.... Get well soon
Big up mkuu, tunamtakia mgonjwa nafuu ya mapema.
Namuuguza. Thankx God anaendelea vizuri
Big up mkuu, tunamtakia mgonjwa nafuu ya mapema.
Ugua pole nameless girl
Pole nameless girl