^^
Wana jf na MMU members, mwanachama mwenzetu nameless girl anaumwa. Kwa sasa yupo nyumbani bado hajisikii vizuri. Taarifa hii ni kwa mujibu wake mwenyewe.
Get well soon best !!!
Lets pray for her
^^
Sasa unasemaje...? unga urafiki na mimi...!Duh! na mimi nikiumwa sijui nani atatoa taarifa JF.... Get well soon
kama unasubir price agonjekePole Mkuu nameless girl. Mkuu Price ni-PM namba yako kabisa ili nije hapa nileta taarifa zako
^^
Wana jf na MMU members, mwanachama mwenzetu nameless girl anaumwa. Kwa sasa yupo nyumbani bado hajisikii vizuri. Taarifa hii ni kwa mujibu wake mwenyewe.
Get well soon best !!!
Lets pray for her
^^