asanteni kwa kunitakia hali njema naamini nitapona ila bado natumia dawa mbarikiwe sana.
afu ee Excel wewe ngoja nipone
yani nimeshangaa kweli shansarie!
sikio? how? unabembelezwa na microphone au? (kidding! lol)
pona pona kabisaaa halafu uni-pm namba yako ya M-pesa nikutumie vijisenti vya supu ya mkia wa kondoo!
Halafu kuanzia leo, mziki wako uwe ni bluz tu!... dont hurt your ears anymore!
Mmh haya swtie...alafu.....au basi
come on meeeeen! we are close cloooooose friends! shansarie is my sister in law i never had before! you know that well...!tumeruka pamoja sehemu nyingi, kuanzia kwa charty hadi kwa kan'tangaze.. i never harm ur miss neddy!!
let ur service to my shansarie bn not in money side.
kaka upo? afu sio kuunguza urekebishepo lol
Hupendeki ee?Wifi na wewe huna dogo?
Nipo dada yangu! Niko pouwa kabisa!
Tayari nimerekebisha!
Hahaaaaaa
Dada yangu na wewe umo! Khantwe wangu tu huyo!
Wifi yako anakusaidia kunipa taarifa
vous manquez de miel!!
come on meeeeen! we are close cloooooose friends! shansarie is my sister in law i never had before! you know that well...!
I never tested anything there! Ugua pole shansa.... but ukija mi lazima nikuchinjie thupu (duh! supu inachinjwa?) ya kondoo!
miss neddy upo mpenzi?
em njoo umwage kifaransa hapa..! mchana mwema!
tumeruka pamoja sehemu nyingi, kuanzia kwa charty hadi kwa kan'tangaze.. i never harm ur miss neddy!!