Get Well soon Munkari

Get Well soon Munkari

Tetra

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
1,526
Reaction score
771
::
MMU members nimepata taarifa kuwa mwenzetu Munkari anaumwa.
Kwa mujibu wake mwenyewe anaendelea na dozi ya homa ya Malaria nyumbani.
Tumuombee katika dua na sala zetu.
Asanteni na tuzidi kudumu kama familia
=
 
Last edited by a moderator:
Mungu akujalie urejewe na afya tena Munkari
 
Last edited by a moderator:
Tetra habari za kwako,
I miss u mpk natetemeka .

::
Bora wewe unatetemeka mi mpaka nazimia.Nashukuru Mungu kila kitu kinaenda kadri ya mipango yake.
=
 
Back
Top Bottom