Get well soon Madame B


Asante sana nitonye, hapa nilipo nimelalia ubao kuusetiri uti wa mgongo.

Ish.... thread imerushwa saa. 12 na dk 57, saa moja na dk 13 ushaleta kiherehere chako kupost JF. Hebu kalale uko umbea utakuua. Sikup pole wala nini.

Ugua pole mwaego. Ukifa tukuzike wapi?
 
Ish.... thread imerushwa saa. 12 na dk 57, saa moja na dk 13 ushaleta kiherehere chako kupost JF. Hebu kalale uko umbea utakuua. Sikup pole wala nini.

Ugua pole mwaego. Ukifa tukuzike wapi?
Aaaaa babu, mbona wataka kumchulia tenaa, c unaona alivyopost kidogo akapotea, mana hali ilibadilika tena, ndio mana yupo kimya mpaka sasa
 
Sawa nitamwambia, na wamenipigia cm kuwa asubuhi hii wamempeleka tena hospital, kwa Dr.Mvungi, na wamempa kitanda, nami nipo njiani naelekea huko

kwa dr mvungi ni maeneo gani huko!!!!!!!!

is this serious!!!!!!!!!!!
 
Sawa nitamwambia, na wamenipigia cm kuwa asubuhi hii wamempeleka tena hospital, kwa Dr.Mvungi, na wamempa kitanda, nami nipo njiani naelekea huko

Mkuu Kijino umeishafika hosp?Anaendeleaje dada yetu?Ni PM basi unipe details za amelazwa kitanda namba ngapi na wadi gani na mimi nitakuja kumuona! Mpe pole sana dada yetu Madame B
 
Last edited by a moderator:
ooh pole sana my dear Madame B nakuombea mwenyezi Mungu akuafue!
Pole zako nyiiingi kutoka kwa ozbend wangu sosoliso

asante da Kijino kwa taarifa!
 
Last edited by a moderator:
Kijino leo ameamkaje;
Msimamie anywe dawa na kufuata masharti ya daktari.

Mpe pole sana.
 
Last edited by a moderator:
Ndio naelekea hospital, nikifika nitawajulisha anaendeleaje
 
Pole madam. Dozi unywe ipasavyo. Get well soonest mpendwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…