Get well soon Erickb52

mkuu nasikia unafanya Overhall kwaajili ya sikuu siyo kwamba unaumwa kweli?> Pole sana mkuu, bora umewahi kabla ya sikuu ili bia zikutaje jina lako la utoto.
Hahahahhahaaaaa bia zitantambua Trh 31 aiseee
 
Dah KOKUTONA nilikuwa naumwa malaria then tonses zikanivamia yan ikawa balaaa kweli kweli hapa bado niko kitandani nasikilizia maumivu kooni hata mate hayamezeki hadi nifumbe macho.
Mpe pole Junior mwambie atapona!

Pole sana mlezi mwenzangu.

Malaria mbaya sana i see, inakosesha raha hata na appetite ya kula inapotea kabisa.

Get well recovery Erickb52, Junior ana nafuu sasa, salamu zimefika.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…