Get well soon Erickb52

@Erickb52, Mungu akuponye arifu, pokea uponyaji sasa!
 
We naona unantaka wakati bado u mgonjwa! Haya nambie wewe ulikuja kufanya nini mpaka ukamfuma Mr Rocky?
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Erick Nzambe atakulinda. Ila dawa ya tonsils ni kiroba kimoja asubuhi na jioni, sijawahi kutumia ila ni maneno ya
Bush Doctor..................desh desh
Hahahahahaha! platozoom ahsante kwa kumwambia mgonjwa dawa lol. Anavyopenda viroba nahisi atakunywa kutwa mara 7.
 
Last edited by a moderator:
Asante mwaya Erickb52, huyo sweetlady naona ananiletea kauzibe tu ili nitishike kuja Arachuga.
Hajui kama mimi nakuja na hizo dawa za Tonses!!!! sweetlady jiangalie............ Nitakugeuza kitabu.........
Hahahahaha! We jishaue afu uone kama ukifika huku nani atakupeleka kuzurura! Nakuangalia tu!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hehehehe! Madame B na wewe na ujanja wako wote umemwamini PakaJimmy? Pole weye.
sweetlady, usiniharibie bana, hujui niko kwenye hatua za mwisho za saundi mwenziyo?...yaani aliniahidi kunipa jibu la mwisho leo endapo tuta'du ama La, tukiwa Tanga.
NB: Usibadilishe rangi ya haya maandishi wala kumPM Madame B

 
Last edited by a moderator:
sweetlady, usiniharibie bana, hujui niko kwenye hatua za mwisho za saundi mwenziyo?...yaani aliniahidi kunipa jibu la mwisho leo endapo tuta'du ama La, tukiwa Tanga.
NB: Usibadilishe rangi ya haya maandishi wala kumPM Madame B

Hahahaha! Nipe hela kabla sijamwaga mchele kuku wafaidi
 
Last edited by a moderator:
sweetlady, usiniharibie bana, hujui niko kwenye hatua za mwisho za saundi mwenziyo?...yaani aliniahidi kunipa jibu la mwisho leo endapo tuta'du ama La, tukiwa Tanga.
NB: Usibadilishe rangi ya haya maandishi wala kumPM Madame B


Nimeyaona na pia mume wangu Chimbuvu kayaona,
Na amenipiga stop safari ya Tanga,
Ntakomaje thatha?????
Nawe PakaJimmy hata hujui kula na kipofu.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…