Pole sana Erickb52 ngoja nimuite mchungaji LiverpoolFC aje akemee pepo hili la magonjwa.
Pole sana Erickb52 ngoja nimuite mchungaji LiverpoolFC aje akemee pepo hili la magonjwa.
upone haraka erick b52.
kumbuka
"ujapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti hutaogopa mabaya kwa maana gongo lake na fimbo yake yakufariji"
Kimenuka
Mzee wa Rula upitishe juice kwa mgonjwa sa4 asubuhi ya kesho!
Kimenuka