GET RICH.....or DIE TRYING

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
Mwana Apolo(mtafutaji) hachoki...akichoka..... kesha pata
 
Akitoka hapo ameisha pata sasa ilo jiwe. Starehe na yy... yy na starehe. Baada ya muda anarudi huko huko. Elimu ya maisha ina hitajika sana kwa watu hawa.
 
Kwa maumivu hayo, akizipata acha atumie atakavyo!
 
Huwa nawapenda watu kama hawa huwezi ukamkuta kasimama kwenye maandamano au migomo isiyo na tija yeye kazi tu safi kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…