Get out movie.

Live kumbe na wewe uliusikia mwanzoni kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
movie kali sana aisee ila inaanza kiboya kumbe mbele ni msala jamaa wanabadilisha miili ya watu kama nguo
 
Imenifanya niogope wanawake wa kizungu

Yes or No
 
Mkuu nisaidie ...nawezaje kui download kwenye kismart phone change hapa.
Kwanza nenda store download torrent.

Kisha nenda Google andika 1337x.to kisha search Get Out uipakulie kwenye torrent.

Ukimaliza kaa vizuri uiangalie
 
torent siku izi unasearch vipo manake siipatagi tena
Uwe na App ya torrent kwenye device ukishakuwa nayo nenda Google andika 1337x.to then itatokea wall andika jina la movie u-search... kisha unaipakua.
 
ndio ninayo app kwenye laptop sema nilikua nikienda kwenye website ndo siipat,,asante
 
Uwe na App ya torrent kwenye device ukishakuwa nayo nenda Google andika 1337x.to then itatokea wall andika jina la movie u-search... kisha unaipakua.
Mkuu nimefika hadi kwenye kudown load sasa tatizo nakosa sehemu ya kuruhusu ili niidown load
Angalia hapa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…