nimekuwa mzembe balaa siku hizi wa kucheki movie..anyways ngoja niisakeEeeh, nafikiri haina zaidi ya miezi 5....
Jamaa mmoja anaitwa michael abelsHiyo soundtrack ni wimbo wa nani?
Uweke hapa babaJamaa mmoja anaitwa michael abels
nikutumie nyimbo?
Maelekezo na Maamuzi kutoka Juu
Hahaha mkuu hawa wakiamua kujifunza wanajifunza haswa...Nitumie aseeh
Kama ni Abels namjua sema kiswahili kakifahamia wapi... mimi nikajua labda track ya zamani ya kina mwinshehe
Naiweka usjal mkuu
Nitumie aseeh
Kama ni Abels namjua sema kiswahili kakifahamia wapi... mimi nikajua labda track ya zamani ya kina mwinshehe
Nimeiweka
Haha uoga umenizidi mzee...Nilikwenda kutembea kwa wabeba box miezi 2 iliopita Brother na Gf wakaiweka ipo poa sana. Yule jamaa aliekimbia mbio usiku niliruka kama mie nilikuwemo πππ
nami nitumie hio soundtrack niiskize ikoje..Nitumie aseeh
Kama ni Abels namjua sema kiswahili kakifahamia wapi... mimi nikajua labda track ya zamani ya kina mwinshehe