Chekini na Comfort Lodge, hii ipo mbezi kibanda cha mkaa, hutojuta. Jamaa wamejipanga kuwafurahisha wateja wake. No bughudha, privacy is highly maintained, vyumba safi, shuka vitanda safi, milango na madirisha alluminium. Maji uhakika, shower
Nilipakubali asee