Hahahahaha hapo kidume lazima ulale kama tyre used ya fiat (unajikunja)maana wanakutamanisha na wewe pakupata huduma huna,ilishanikuta hii Morogoro chumba cha jirani jamaa anapiga show halafu nilikuwa sina ujanja wakujua wanakopatikana dadazetu wale,nikaishia kumsomesha receptionist alikuwa mmama mtu mzima hivi akanitemea mimate eti kwamba sioni aibu,asubuhi nilivyomuona alivyo mzee,nikajisemea bora alivyokataa..aloo ujana ni nusu ya wendawazimu,nikikumbuka huwaga nacheka tu.