Nairobi kuna starehe sanaaa mkuu, kuna clubs nyingi sana hadi zenye strippers. Kuna Clubs zenye watu wa status tofauti tofauti,huko Langata kuna clubs kama black cotton,serville,Twist hlf ukienda Rongai kuna Titanium wanapenda sana wabongo hapo...
Ukielekea Karen napo kuna watoto wa kidosi na warembo kem kem katika clubs za maana sana (Huko madem ni classic sana ila wa gharama)
Ukienda pia Hurlingham,Westlands,Muthaiga na Lavington kuna Clubs za ukweli sana na watoto wa kiitaliano wamejaa huko.
Kuna club ipo twn ni ya mashoga tu (gays) inaitwa Joys achana napo hapo. Hotel za kulala na guest houses za Nairobi ni Classic sana na wahudumu wapo very sharp ila gharama zao ni kubwa kabisa kuliko huku bongo.
KIFUPI NAIROBI KUNA CLUBS,WAREMBO,SWIMOO NA STAREHE ZOTE ILA NI JIJI LA GHARAMA SANA.