Mwezi | Mwezi | Mwezi | Mwezi | Ufungaji wa Mtambo | Mwezi | Mwezi | Jumla | |
550,000 | 550,000 | |||||||
300,000 | 250,000 | 550,000 | ||||||
200,000 | 200,000 | 150,000 | 550,000 | |||||
200,000 | 200,000 | 160,000 | 560,000 | |||||
175,000 | 125,000 | 135,000 | 135,000 | 570,000 | ||||
130,000 | 110,000 | 110,000 | 110,000 | 110,000 | 570,000 |
Hii haina tofauti na Biogas yoyote kwahio matumizi yako ndio yatapelekea ni kiasi uweke (from biogas ya kawaida ambayo I know from experience mabaki ya ngombe kama wawili unaweza kutumia siku nzima kwa matumizi ya kawaida, anyway nadhani hii ndio same product ambayo waliongelea hapa..., ingawa kulikuwa na debate kali kama nilichosema mimi ndio wanachosema wao)huo mtambo unazalisha gas kiasi gani kwa siku? na unapaswa kufeed kiasi gani cha hayo mabaki?
Huo mtambo unaocuppy space kiasi gani hasa ukichukulia hizi nyumba zetu za kupanga?
Weka Contacts zako ili wenye interest wawasiliane nawe.Wapendwa,
Ile gesi inayotumia mabaki ya chakula na maji sasa inamuwezesha mteja kulipia 550,000 kwa awamu na kisha kufungiwa mtambo. kwa maelezo zaidi angalia jedwali hapo chini
Mwezi Mwezi Mwezi Mwezi Ufungaji wa Mtambo Mwezi Mwezi Jumla 550,000 550,000 300,000 250,000 550,000 200,000 200,000 150,000 550,000 200,000 200,000 160,000 560,000 175,000 125,000 135,000 135,000 570,000 130,000 110,000 110,000 110,000 110,000 570,000
Malipo ya awamu yatagharimu shilingi 10,000 ambayo ni administration fee.
Siku za mwanzoni inakaa kwa muda wa saa moja na nusu, kadri unavyoendelea kuweka mabaki ya chakula na taka za vyakula kama maganda ya viazi, ndizi n.k utapata gesi ambayo unaweza kutumia kwa siku nzima. hata hivyo kwa siku za mwanzo mtambo unapokuwa umeanzishwa kama unatumia gesi kwa mfululizo yaani ukatumia kupikia chai, theni maharage baada ya kupika chai, then ukasonga ugali, hapo itakaa kwa saa moja na nusu. lakini kama utatumia kwa nafasi yaani ukapika chai then baadae kama 2 hrs ukapika maharage, hapo unaweza kutumia kwa muda kidogo kwa sababu gesi inazalishwa muda wote.
kiasi cha mabaki au taka za chakula kinachotakiwa kuwekwa ni nusu kilo hadi kilo tatu na nusu, kisipungue wala kuongeza katika kipimo hicho.
its the same product sema kampuni husika inajaribu kuongelea under their username jinsi mtu anavyo weza kulipia mtambo huo.Hii haina tofauti na Biogas yoyote kwahio matumizi yako ndio yatapelekea ni kiasi uweke (from biogas ya kawaida ambayo I know from experience mabaki ya ngombe kama wawili unaweza kutumia siku nzima kwa matumizi ya kawaida, anyway nadhani hii ndio same product ambayo waliongelea hapa..., ingawa kulikuwa na debate kali kama nilichosema mimi ndio wanachosema wao)
https://www.jamiiforums.com/busines...mara-mmoja-unatumia-milele-2.html#post3641105
Weka Contacts zako ili wenye interest wawasiliane nawe.
Hii haina tofauti na Biogas yoyote kwahio matumizi yako ndio yatapelekea ni kiasi uweke (from biogas ya kawaida ambayo I know from experience mabaki ya ngombe kama wawili unaweza kutumia siku nzima kwa matumizi ya kawaida, anyway nadhani hii ndio same product ambayo waliongelea hapa..., ingawa kulikuwa na debate kali kama nilichosema mimi ndio wanachosema wao)
https://www.jamiiforums.com/busines...mara-mmoja-unatumia-milele-2.html#post3641105
Ukiangalia kwenye ile thread niliyokupa link (ni kwamba hawa bacteria wapo available.., kwenye absence of oxygen any bio-material wataitumia na kutengeneza methane) kwahio hata ukiweka debe lako na kuweka mabaki ya vyakula utatengeneza bio-gas..., Ingawa kule kwenye ile thread jamaa alibisha kwamba hii ni tofauti (ingawa hakunieleza utofauti ni nini)Familia ya watu 4 yaweza zalisha mabaki ya kulisha hiyo plant na kuproduce at least 2 hours of cooking? Again huo mtambo wako unakuja na grinder/blender ya kusaga hayo mabaki ili yaweze kuliwa na hao bacteria; coz we know hao bacteria wanakaa kwenye guts zetu na wanakula chakula kilichosagwa tayari!
Ndio maana hata kule nikasema hapa kuna lugha za kibiashara zinatumika.., its sold as if hawa micro organisms wanapatikana sijui wapi ambapo wakipotea hawawezi kupatika tena.., ila ukweli ni kwamba ukiweka mabaki ya chakula au even kinyesi.., kweye absence of oxygen (methane gas will be produced) regardless hio container ni pipa, debe, au septic tank...Ukubwa wa plant pia, hudetermine uwezo wa kupokea hicho chakula na hivyo gesi inayozalishwa. Ukioverfeed, unauwa na ukiunderfeed unauwa vile vile; ndio maana nilitaka kujua huo mtambo wao wanaupromote una ukubwa gani! Uzuri wa mabaki ya chakula huitaji mengi kama kinyesi cha ng'ombe (kwani kinyesi ni makapi zaidi, chakula kimeshatumiwa na mnyama) lakini, familia zetu nyingi za kitanzania hatuzalishi waste za kutosha, hivyo ili mtambo wako uendelee unahitaji kuoutsource mabaki from somewhere else na hicho ndicho kinachowatia uvivu wengi. Too bad hawalizungumzii hili wanavyopromote hiyo issue.
Ndio maana hata kule nikasema hapa kuna lugha za kibiashara zinatumika.., its sold as if hawa micro organisms wanapatikana sijui wapi ambapo wakipotea hawawezi kupatika tena.., ila ukweli ni kwamba ukiweka mabaki ya chakula au even kinyesi.., kweye absence of oxygen (methane gas will be produced) regardless hio container ni pipa, debe, au septic tank...
Lakini Kudos, kwa jamaa kuleta a ready made bio-digester na stove yao kwa matumizi ya watu.., sio mbaya kila mtu kuwa nayo sababu itaconvert mabaki into energy ambayo eventually unaweza kutumia kama mbolea..
Ila Chonde Chonde Wakuu hizi lugha za kibiashara sometimes zinaweza zika-backfire, na huenda usipate satisfied customer and hence unakosa repeat business through word of mouth
Ukiangalia kwenye ile thread niliyokupa link (ni kwamba hawa bacteria wapo available.., kwenye absence of oxygen any bio-material wataitumia na kutengeneza methane) kwahio hata ukiweka debe lako na kuweka mabaki ya vyakula utatengeneza bio-gas..., Ingawa kule kwenye ile thread jamaa alibisha kwamba hii ni tofauti (ingawa hakunieleza utofauti ni nini)
Anyway sio kwamba nasema hii technology haifai (it great na nashauri watu wanunue) ila ukweli ni kwamba kama ukiweka pipa na hizo pipes utapata same gas (although DIY, Home made huenda isiwe as efficient)
its the same product sema kampuni husika inajaribu kuongelea under their username jinsi mtu anavyo weza kulipia mtambo huo.
Ni kweli mkuu ila issue na ukweli ni kwamba hata zile biogas tunazozifahamu hata ukiweka mabaki ya chakula itafanya kazi, hata hii yako ya sasa ukiweka kinyesi hata cha mtu itafanya kazi hawa wadudu sio kwamba wanachagua mimi nataka carrot tu na mabaki ya mimea sitaku samadi..mimi hu mtambo ninayo natumia .ni mkubwa kama simtank yale ya maji .pia nakubaliana na wengi wenu kwamba unaweza weka kinyesi iwe cha ngombe au chochote na ukapata gesi lakini .swali jee ni wangapi wana ngombe nyumbani mwao wakupata hiki kinyesi nyumbani mwao.mfano sinza kuna nani unamjua sinza ana ngombe wakumpatia kinyesi nyumbani kwake .
Mkuu hakuna sehemu ambapo nilisema huu mtambo ni bogus.., (huu mtambo unafaa sana tena sana) ila kufaa kwake hakubadilishi ukweli kwamba kinyesi kinaweza kufanya kazi na badala ya kutumia hio simtank yako ungeweza kuweka pipa likafanya kazi vile vile (issue ni kwamba sidhani kama hii kampuni ina hati miliki ya hawa wadudu na hawapatikani pengine popote). Again huu mtambo una faida na ni vizuri mtu kutumia kile ambacho kipo widely available kwa mfugaji kwake ni cost effective kutumia samadi, kwa mtu ambae mifugo ni kazi kupata basi atumie mabaki ya mimea.ndio mana huu mtambo ume kuwa mkombozi kwetu kwani instead ya sisi kuangaika kutafuta kinyesi .tuna tumia mabaki ya chakula amabayo karibia kila nyumba inayo.tene mabaki yenyewe yanayo itajika ni nusu kilo tu.mimi kwangu naendaga kwenye kibanad cha chips jirani na kwangu na chukua maganda ya viazi. nakubali kinyesi kina zalisha lakini sina muda wa kushika kinyesi mimi na skia kinya .so i find this mtambo kuwa na faida.
Mkuu promotion sio lazima upindishe lugha (wengine wataona unataka kuwatapeli) unaweza tu ukaweka faida zako na USP (unique selling points zako)kingine ni mtu gani au biashara gani mtu ata anzisha asi promote bidha yake .
Ukiangalia kwenye ile thread niliyokupa link (ni kwamba hawa bacteria wapo available.., kwenye absence of oxygen any bio-material wataitumia na kutengeneza methane) kwahio hata ukiweka debe lako na kuweka mabaki ya vyakula utatengeneza bio-gas..., Ingawa kule kwenye ile thread jamaa alibisha kwamba hii ni tofauti (ingawa hakunieleza utofauti ni nini)
Anyway sio kwamba nasema hii technology haifai (it great na nashauri watu wanunue) ila ukweli ni kwamba kama ukiweka pipa na hizo pipes utapata same gas (although DIY, Home made huenda isiwe as efficient)
Mkuu unaweza kuniambia ni kwanini hii huwezi kutumia mbolea ya wanyama Je mmegundua bacteria tofauti na hao hapo chini:-Its not the same product bz hii inatumia mabaki ya chakula pekee, kuna mtambo ambao unatumia mbolea ya wanyama, unaletwa sokoni soon ila priority kubwa itakuwa kwa watu wa rural areas.
Anaerobic digestion is a series of processes in which microorganisms break down biodegradable material in the absence of oxygen. It is used for industrial or domestic purposes to manage waste and/or to release energy
Ni kweli mkuu ila issue na ukweli ni kwamba hata zile biogas tunazozifahamu hata ukiweka mabaki ya chakula itafanya kazi, hata hii yako ya sasa ukiweka kinyesi hata cha mtu itafanya kazi hawa wadudu sio kwamba wanachagua mimi nataka carrot tu na mabaki ya mimea sitaku samadi..
Huu mtambo unatumia mabaki ya chakula pekee katika kuzalisha gesi. unapoanzishwa unaanzishwa na mbolea ya ng'ombe lita 80, maji lita 110 na unga wa ngano nusu kilo, vinachanganywa pamoja ndio wanapatikana hao wadudu. baada ya hapo, mtumiaji ndio anaanza kulisha mabaki ya chakula akichanganya na maji.
Thanks MkuuHuu mtambo unatumia mabaki ya chakula pekee katika kuzalisha gesi. unapoanzishwa unaanzishwa na mbolea ya ng'ombe lita 80, maji lita 110 na unga wa ngano nusu kilo, vinachanganywa pamoja ndio wanapatikana hao wadudu. baada ya hapo, mtumiaji ndio anaanza kulisha mabaki ya chakula akichanganya na maji.