Kaka Kapagi
Member
- Sep 27, 2012
- 22
- 6
Gesi nyingine yangunduliwa Mbeya eneo la Isebe, Tukuyu.
Ni liquid Carbon dioxide sawa na ile ya Kyejo, Mwakaleli, uzinduzi wake kufanyika karibuni. Ama kweli ule usemi kuwa kila mahali unapokanyaga Tanzania ni madini tu.
Swali ni kuwa je sasa ni lazima kila madini yanapogunduliwa yachimbwe haraka?
hizi ni habari mbaya
Haa haa naona mkuu..ya Mtwara yatajirudia huko!
mengine yanapelekwa tanga kwa ajili ya utafiti.watu wanajua kula na kipofu.ukila na kipofu mega chakula upande wake,asituki mpaka chakula kinakwishaKila siku malori ya makaa ya mawe yanabeba mbinga,rungwe kupeleka malawi,eti wapo kwenye utafiti hakuna tunachopata watanzania
Ishu ni pale mafuta yatakapogunduliwa Musoma! Kama hawatadai kuwa wao ni nchi jirani, sijui!