mahakama ya kazi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2013
- 1,520
- 243
Sasa sijui bomba litachimbwa tena kwenda Bwagamoyo kuendeleza ardhi ya kina rizimoko??
pigia mstari
Sasa sijui bomba litachimbwa tena kwenda Bwagamoyo kuendeleza ardhi ya kina rizimoko??
Gesi nyingine
yangunduliwa Mbeya eneo la Isebe, Tukuyu.
Ni liquid Carbon dioxide sawa na ile ya Kyejo, Mwakaleli, uzinduzi wake
kufanyika karibuni. Ama kweli ule usemi kuwa kila mahali unapokanyaga
Tanzania ni madini tu.
Swali ni kuwa je sasa ni lazima kila madini yanapogunduliwa yachimbwe
haraka?
Gesi nyingine yangunduliwa Mbeya eneo la Isebe, Tukuyu.
Ni liquid Carbon dioxide sawa na ile ya Kyejo, Mwakaleli, uzinduzi wake kufanyika karibuni. Ama kweli ule usemi kuwa kila mahali unapokanyaga Tanzania ni madini tu.
Swali ni kuwa je sasa ni lazima kila madini yanapogunduliwa yachimbwe haraka?
Hii gesi inatumika vipi. Wengi tunfahamu madhara ya CO2 kwenye mazingira(greenhouse gas)
Kweli Mbeya hakuna wanyonye mkuu!akizingua sisi tunazingua zaidi yao.Viva green city!!Mbeya nawaaminia hakuna mnyonge kule!!
Kweli mkuu Mbeya hakuna wanyongewakizingua sisi tunazingua zaidi yao.Viva green city!!:frusty:Mbeya nawaaminia hakuna mnyonge kule!!
Aisee! Tuombe Mungu isiwe karibu na mpaka wa Malawi, yule mama atazidi kuchanganyikiwa!
Suala la Msingi ni kujipanga tu, Tanzania inaweza kuendeshwa kwa Utalii peke yake. Ni nchi ya pili kwa vivutio Duniani baada ya Brazili. Tanzanite na Dhahabu pia pekee vingeweza kuendesha nchi. Kila wilaya Tanzania ina Dhahabu. Shaba imetapakaa. Chuma kimeanzia ludewa hadi Bukoba kupitia Kigoma. Samaki pia wanaweza kuendesha nchi bila kutegemea kitu kingine. Hapo hatujagusa kilimo. Gasi ya Mtwara na Mafuta bado haikuwa kipaumbele cha serikali. Bandari za Tanzania zinauwezo pia wa kuiendesha Tanzania na kila mtu akasoma na kutibiwa bure. La msingi ni kujitambua na kuweka vipaumbele. Tanzania tukizingatia amani na utulivu watoto na wajukuu wataneemeka sana na sisi tutazeeka vizuri.Gesi nyingine yangunduliwa Mbeya eneo la Isebe, Tukuyu.
Ni liquid Carbon dioxide sawa na ile ya Kyejo, Mwakaleli, uzinduzi wake kufanyika karibuni. Ama kweli ule usemi kuwa kila mahali unapokanyaga Tanzania ni madini tu.
Swali ni kuwa je sasa ni lazima kila madini yanapogunduliwa yachimbwe haraka?
Pole. inatumika kwenye soda, bia, vifaa vy zima moto nk nk.Hii gesi inatumika vipi. Wengi tunfahamu madhara ya CO2 kwenye mazingira(greenhouse gas)
Ishu ni pale mafuta yatakapogunduliwa Musoma! Kama hawatadai kuwa wao ni nchi jirani, sijui!
Je ina uhusiaino na uwepo wa volcano apo Mbeya?Gesi nyingine yangunduliwa Mbeya eneo la Isebe, Tukuyu.
Ni liquid Carbon dioxide sawa na ile ya Kyejo, Mwakaleli, uzinduzi wake kufanyika karibuni. Ama kweli ule usemi kuwa kila mahali unapokanyaga Tanzania ni madini tu.
Swali ni kuwa je sasa ni lazima kila madini yanapogunduliwa yachimbwe haraka?
Nini kifanyike sasa wakati wanaiba kura???Hata tuvumbue sehemu ambayo ukichimba unapata USD, as long as CCM ipo madarakani, TUSAHAU juu ya kufaidika na hizo rasilimali...
Nimefanya uchunguzi wa kina kuhusu uwepo wa hewa ya sumu ila sijaone ripoti yoyoye katika machapisho yoyote.Hi gesi ipo siku nyng sana na imeua walevi weng sana ukiwa umekunywa pombe unakufa na mnyama yeyote akpta asubuhi au jion ucku anakufa,TUSHAOKOTA SANA NDEGE KAMA KWALE,VICHECHE NA WANYAMA WADOGO WADOGO,WAZUNGU WA KILA AINA WAMEFIKA KUANGALIA LAKN MPAKA LEO NDO KUONA HI HABARI HAKUNA MATOKEO YA UCHUNGUZ WAO!!MI NI MZAWA WA KIJIJI CHA ISEBELO,KATA YA SWAYA NA Shule ya msingi nimesoma Isebelo
Je kama ina uwa watu ni salama kuitumia katika vinywaji baridi?Pole. inatumika kwenye soda, bia, vifaa vy zima moto nk nk.