Gesi hiyooo inapita Mtwara

Gesi hiyooo inapita Mtwara

mchonga

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2006
Posts
1,233
Reaction score
249
a27a3b73d355048c6bab885897085f62_XL.jpg
 
Pinda keshasema hakuna mgogoro tena, JK kapigilia msumari wa mwisho na kuwa walifanya vurugu watashughulikiwa: gesi inapita kwa ulaini. wana Mtwara mpo?
 
mchonga nimeipenda hiyo katuni yako. wanamtwara hakikisheni kuwa miradi yenu inaanza au inakuwa na dalili za kuanza ndo mkubali hiyo 16% ya ges yenu kwenda dar, ama sivyo ndo itakuwa imekula kwenu. kuweni kama mbayuwayu, zakuambiwa changanya na................ malizieni wenyewe.
 
Kitachotokea hapo ni sawa na wakazi wa kisiwa cha Songosongo hakuna tofauti na si kweli kwamba 16% ya gei ndio itakuja Dar ni uwongo bali 100% yote itakuja Dar.
Mtwara kuna viwanda vingapi vitavyohitaji 84% ya matumizi ya gesi?
Wakazi wa kisiwa cha songosongo asilimia kubwa sana ni maskini na hawafaidki kiuchumi na uwepo wa gesi asilia ktk kisiwa chao ambapo asilimia 100% ya gesi inayotoka kisiwani songosongo inatumika Dar kwa sasa kwa kuzalishia umeme na matumizi ya viwandani.
 
Pinda amewadanganya watu walioko nje ya mikoa ya kusini, ukweli ni kwamba alipewa madai na moja ya madai hayo ni umeme kuzalishwa Mtwara na si Dar kwa gesi ya Mnazi Bay! Dai pekee aliloshughulikia ni kuhakikisha Mkuu wa mkoa (Simbakalia) anawaomba radhi wananchi wa Mtwara kwa kuwaita wapuuzi na alifanya hivyo. Madai mengine (Mh. Pinda) hakukuwa na muafaka. Huyu Pinda na serikali yake wnatufanya wakazi wa huku kama wanyama vile! Sasa wasubiri waone tutakachofanya!
 
Back
Top Bottom