Wengi hawaangalii mabadiliko ya timu.
Shiboub yupo fit ila jana moto ulikata. Box to box midfielder inahitajika uwe na mapafu ya mbwa mithili ya kina Michael Essien.
Naamini Prof Ausseum ameliona hilo na atalifanyia kazi. Shiboub atakuwa mcharo zaidi kwenye mechi zijazo.