Nilichura, a.k.a makwasu kwasu fcHilo jamaa ni makalio, likashabikie FM academia mpira halijui
Huyu jamaa ni hamnazo anajifanya mwanasimba kumbe kisamvu unitedLeo ndio Ile Siku Dunia Inashuhudia Magarasa ya Simba
Mchezaji hasajiliwi kisa anajua kupiga danadana. Mchezaji hasajiliwi kisa anatoka nchi inayoongoza kwa kujua mpira, basi ukajua eti nae anajua mpira. Leo ndio siku MO ataanza kujuta kuhusu pesa zake za usajili zilivyoliwa na wajanja wachache. Tukutane hapa kwanzia saa 10 jioni ili tufanye...www.jamiiforums.com
Hakuna unaz, wale wabrazil huitaji uwe kocha kujua kunamtu ameihujumu timu. tena upo uwezekano ata wakalawao ni mtu mmoja.Mpira unachezwa hadharani labda wapewe mda ila kuna mambo hayako sawasawa.Shida hapa wameweka unazi mbele
Wabongo hautawezana nao mheshimiwa mwanasiasa.Usajili umetulia huuWabongo mmeanza majungu. Ndio kwanza mechi ya kwanza. Hata huyo Deo Kanda anayesifiwa leo anaweza kukata chaji. Tukumbushe Kotei alianzaje
MORINGA je?Huyu Mbrazil tumepigwa. Mkubali, mkatae ni heri ya Said Ndemla "Ball dancer".
Shiboub "Muhogo Mchungu" yuko vizuri
Asante Kotoko waliambiwa na kocha wao wasiharibu sherehe ya watu(Simba day)Leo Yale maboko ya Wazambia mmhh
Mimi naona Mkude na Bocco ndio hamna kituHuyu Mbrazil tumepigwa. Mkubali, mkatae ni heri ya Said Ndemla "Ball dancer".
Shiboub "Muhogo Mchungu" yuko vizuri
Matako manene
Teh teh teh kweli nyie ni Mambumbumbu,juzi mlichonga sana kuhusu performance ya Yanga huku mkisahau kuwa ile ni mechi ya majaribio. Leo hii kibao kimegeuka mnaleta utetezi mfu.We ni boya, game ya kwanza kwa ile perfomance ndo unamlinganisha na ndemla????
Makitambi uyo hahaaaa zahera keshapiga chake.
Watu wengi hawakuliona hili,jamaa alivyoingia gemu ikabadilika inahitaji jicho la mpira kuona hilo.Hapo kubadilisha mchezo nilidhan nmeona peke yangu