Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 505
- 887
Huyu jamaa anaongea kwa vitisho sana! tusubiri tuone nguvu ya wanachi
-==============
Serikali Itahakikisha Tarehe 29 Oktoba Hakuna Mtu Atakayewazuia Watu Kwenda Kutimiza Haki Yao Ya Kupiga Kura.
Msemaji Mkuu Wa Serikali Na Katibu Mkuu Wa Wizara Ya Habari Sanaa Na Michezo Gerson Msigwa Ameeleza Kwenye Mahojiano Na #JioniYaLeo